Maana.
Dhana ya fasihi
Tigiti Sengo na Kiango wanasema, Fasihi ni mwamvuli wa mtu na jamii na utu na maisha wa hadhi na taadhima.
Fasihi yaweza kuelezwa kwamba, hutegemea msanii ambaye huiumba kwa maneno katika tukio maalum (Finnegan, 1970)
Ni fasihi inayotegemea mdomo ktk kutolewa na kuenezwa kwake… (M.L.Matteru, 1979)
Kwa ujumla: Fasihi ni sanaa au ni tawi la sanaa linalotumia lugha katika kufikisha
ujumbe wa msanii kwa hadhira yake.
AINA ZA FASIHI
Kwa kawaida fasihi ni moja, lakini kutokana na uwasilishaji wake tunaweza kupata aina
mbili(2) za fasihi;
(a) Fasihi simulizi.
(b) Fasihi andishi.
FASIHI SIMULIZI
Ni aina ya fasihi ambayo hutumia mdomo au masimulizi katika kufikisha ujumbe wa msanii
kwa hadhira. Mfano, hadithi, ushairi, maigizo na sanaa mbalimbali za monesho.
kwa hadhira. Mfano, hadithi, ushairi, maigizo na sanaa mbalimbali za monesho.
Ni fasihi inayotegemea mdomo ktk kutolewa na kuenezwa kwake… (M.L.Matteru, 1979)
Ni aina ya fasihi ambayo hutumia mdomo katika kuumbwa, kuwasilishwa na kusambazwa kwa waasikilizaji na watumiaji waake (Balisidya, 1983)
No comments:
Post a Comment