NJIA YA KANDA ZA KUNASIA SAUT

KANDA ZA KUNASIA SAUTI
    Hii ni teknolojia iliyochipukia baada ya maandishi• Ilikuwa na uwezo zaidi wa kuhifadhi uhalisia wa fasihi simulizi ukilinganisha na njia ya uhifadhi kwamaandishi.Katika njia hii kanda hutumika, kanda hizo hushika sauti pamoja na vichombezo vyake.
     UBORA WA KANDA ZA KUNASIA SAUTI
•Katika njia hii uhalisia wa kazi hautobadika . Sauti za wahusika asilia zitatolewa kama zilivyorikodiwa bila kubadilika .
•Hutunza kumbu kumbu kwa muda mfefu
 UDHAIFU/ATHARI ZA KANDA ZA KUNASIA SAUTI
• Sauti husikika, lakini nivigumu kuona matendo ya fanani .
• Hadhira haishirikishwi.
• Ni gharama kuipata.
• Uhifadhi unahitajika uwe wa hali ya juu.
• Kudumaa kwa kazi ilihifadhiwa, haitapati mabadiliko kulingana na wakati.

No comments:

Post a Comment