KANDA ZA VIDEO NA TELEVISHENI

KANDA ZA VIDEO,TELEVISHENI,FILAMU ZA SINEMA, KOMPYUTA, MTANDAO,  SIMU ZA MIKONONI, CD NA DVD
• Uhifadhi wa namna hii hujumuisha sura na sauti zinazoonekana kwenye skirini ya video. Vifaa maalumu hutumika kutengeneza picha za namna hiyo.Fasihi simulizi imeweza kuhifadhiwa katika vifaa hivi.
UBORA WAKE
• Hapa uhalisia wa fasihi simulizi hujitokeza zaidi ukilinganisha na njia zile za mwanzokwan matendo na sauti na wahusika  vinaonekana wazi wazi.
UDHAIFU/ ATHARI YA NJIA HII YA UHIFADHI
• Upungufu wa ushirikishwaji wa hadhira
• Njia hii ni ya gharama sana
• Haitabadilika kulingana na mahitaji ya hadhira
  • Uhifadhi wa vifaa hivi ni wa gharama sana.


No comments:

Post a Comment