KUHIFADHI KAZI ZA FASIHI SIMULIZI.
Ili kitu Kisumu lazima kuhifadhiwa. Kutokana na umuhimu was fasihi simulizi jamii ilianza kuhifadhi kasi za fasihi. Awali kazi za fasihi simulizi zilkuw zinahifadhiwa kwa njia ya kichwa tu. Lakini kutoka na mabadiliko ya mazingira fasihi simuliz imekuwa ikihifadhiwa katika njia mbali mbali ili kulinda na kuituza kwa ajili ya vizazi vyengine. Miongoni mwa njia za kuhifadhi fasihi simulizi ni zifuatazo :
• Kichwa
• Maandishi
• Kanda za kunasia sauti
• Kanda za video, televisheni na filamu za sinema (CD,DVD na kompyuta)
No comments:
Post a Comment