NJIA YA KICHWA

KICHWA
 Kwa asili uhifadhi wa fasihi simulizi hufanywa kwa vichwa vya watu kutoka kizazi hadikizazi. Njia hii imetumika kwa kipindi kirefu sana, kutokana na njia hii fasihiimeweza kuwepo kutokavizazi vya kale hadi hiki cha sasa.

UBORA WA UHIFADHI WA KICHWA
•Huweze kukutanusha fanani na hadhira.
•Hadhira hushiriki katika uwasilishaji kivitendo kama vile kuimba, kupiga makofi, kuuliza maswali.
•Huweza kubadilika kulingana na mazingira aliyopo

UDHAIFU/ ATHARI ZA UHIFADHI WA KICHWA
• Kupungua kwa kumbukumbu za mhifadhi/fanani
• Kufa kwa fanani
• Fanani anaweza kubadilisha mambo muhimu katika simulizi na hivyo kubadili kiini cha masimulizi hayo.
• Ukosekananji wa wahifadhi wa fasihi kwa kichwa. Ni vigumu kupata watu wanaopenda na wanaoweza kuhifadhi fasihi simulizi

No comments:

Post a Comment